Vifaa Bora vya Simu (Accessories) Tanzania 2025 – Bei Nafuu na Ubora wa Hali ya Juu
Vifaa Bora vya Simu (Accessories) Tanzania 2025 – Bei Nafuu na Ubora wa Hali ya Juu
Unatafuta vifaa vya simu vyenye ubora lakini kwa bei rafiki? Pillad Traders tunakuletea accessories kali kwa simu yako – zenye muonekano mzuri, uimara, na teknolojia ya kisasa.
---
Tunauza Accessories Zifuatazo:
1. Screen Protectors (Kioo cha Kulinda) – Kuanzia TZS 2,000
Kwa simu zote: iPhone, Samsung, Infinix, Tecno, nk
Clear, Matte, Full Cover & Privacy Glass
Usipate screen iliyopasuka – linda simu yako mapema!
2. Phone Covers & Back Cases – Kuanzia TZS 3,000
Silicone covers, leather flip cases, transparent
Zenye mitindo ya kisasa na zinazolinda simu dhidi ya kuanguka
Tunazo za kila aina ya simu
3. Power Banks – Kuanzia TZS 25,000
10,000mAh hadi 30,000mAh
Fast-charging + LED display
Bora kwa safari au kukaa na chaji masaa mengi
4. Earphones & Headsets – Kuanzia TZS 7,000
Wired na Wireless (Bluetooth)
Zenye bass kali na sauti safi
Inafaa kwa TikTok, YouTube, na mazungumzo ya simu
5. Bluetooth Speakers – Kuanzia TZS 30,000
Zenye sauti safi, bass kali, na betri inayodumu
Inafaa kwa nyumbani, gym, au matembezi
6. Original Chargers & Cables – Kuanzia TZS 5,000
Fast-chargers kwa Samsung, iPhone, Infinix, Tecno
Tunazo type-C, iPhone lightning, micro USB
Zenye warranty na salama kwa simu yako
---
Kwa Nini Ununue Accessories Kutoka Pillad Traders?
✔ Bei nafuu sana ukilinganisha na soko
✔ Bidhaa halisi (original & high copy za ubora)
✔ Tunakushauri kifaa sahihi kwa simu yako
✔ Tunatuma bidhaa hadi mkoani
---
Wasiliana Nasi Leo!
Vodacom: 0748 661 331
Airtel: 0696 610 746
Tunapatikana Dar es Salaam – Tunatuma mikoani kila siku!
Comments