Vifaa Bora vya Simu (Accessories) Tanzania 2025 – Bei Nafuu na Ubora wa Hali ya Juu
Vifaa Bora vya Simu (Accessories) Tanzania 2025 – Bei Nafuu na Ubora wa Hali ya Juu Unatafuta vifaa vya simu vyenye ubora lakini kwa bei rafiki? Pillad Traders tunakuletea accessories kali kwa simu yako – zenye muonekano mzuri, uimara, na teknolojia ya kisasa. --- Tunauza Accessories Zifuatazo: 1. Screen Protectors (Kioo cha Kulinda) – Kuanzia TZS 2,000 Kwa simu zote: iPhone, Samsung, Infinix, Tecno, nk Clear, Matte, Full Cover & Privacy Glass Usipate screen iliyopasuka – linda simu yako mapema! 2. Phone Covers & Back Cases – Kuanzia TZS 3,000 Silicone covers, leather flip cases, transparent Zenye mitindo ya kisasa na zinazolinda simu dhidi ya kuanguka Tunazo za kila aina ya simu 3. Power Banks – Kuanzia TZS 25,000 10,000mAh hadi 30,000mAh Fast-charging + LED display Bora kwa safari au kukaa na chaji masaa mengi 4. Earphones & Headsets – Kuanzia TZS 7,000 Wired na Wireless (Bluetooth) Zenye bass kali na sauti safi Inafaa kwa TikTok, YouTube, na mazun...